TUPO PAMOJA NJIANI KWA MUNGU, HATUMWACHI MTU NJIANI

Tunaomba samahani kwa kutopakia maoni yenu mapema. Kwa kweli maoni mengine yalichelewa kutokana na kutokuwa na mawasiliano mazuri kati ya mhariri aliyeko Hispania na yule wa Tanzania. Sasa hivi kila kitu kipo katika hali nzuri. Mnaombwa kutoa maoni, kutuma picha za huko mliko ili sote tulioishi pamoja tujue tupo wapi. Anwani yetu ya barua-pepe ni ileile kama inavyoonekana hapo juu.

Asanteni.

Tupo pamoja njia kuelekea kwa Mungu.

Tuesday, October 24, 2017

NADHIRI: VIJANA WA NNE WA WEKA NADHIRI ZAO ZA DAIMA KATIKA SHIRIKA LA MT. AGUSTINO TZ.



WAPROFESI WA NADHIRI ZA MUDA WAFUNGA NADHIRI ZAO ZA DAIMA KTK SHIRIKA LA MT. AGUSTINO. TUKIO HILO LA KIHISTORIA LILITOKEA TAREHE. 10/08/2017 KATIKA JUMUIA YA MT. AGUSTINO MOROGORO.





























1 comment:

  1. Hongereni sana vijana. Dumuni ktk lile mliloitiwa. Mungu awatangulie. Amina

    ReplyDelete