TUPO PAMOJA NJIANI KWA MUNGU, HATUMWACHI MTU NJIANI

Tunaomba samahani kwa kutopakia maoni yenu mapema. Kwa kweli maoni mengine yalichelewa kutokana na kutokuwa na mawasiliano mazuri kati ya mhariri aliyeko Hispania na yule wa Tanzania. Sasa hivi kila kitu kipo katika hali nzuri. Mnaombwa kutoa maoni, kutuma picha za huko mliko ili sote tulioishi pamoja tujue tupo wapi. Anwani yetu ya barua-pepe ni ileile kama inavyoonekana hapo juu.

Asanteni.

Tupo pamoja njia kuelekea kwa Mungu.

Tuesday, October 24, 2017

WAAGUSTINO TANZANIA WAPATA MAPADRE WAPYA 6.



MIAKA SABA YA NEEMA YAFIKA KWA WAAGUSTINO TANZANIA


ASKOFU MKUU WA JIMBO KUU LA SONGEA,MHASHAM DAMIAN DALU  AWAPA DARAJA YA UPADRE MASHEMASI-WAAGUSTINO 6 KATIKA PAROKIA MPYA YA MADABA.








MAMBO YALIKUWA KAMA YAONEKANAVYO KATIKA PICHA 











 

 


 









 









 YOTE NIKATIKA KUFANIKISHA SHEREHE.







1 comment:

  1. Enendenyi nanyi katika shamba langu... Tumikieni taifa la Mungu kwa upendo. Hongereni Mapadre wapya!!

    ReplyDelete