TUPO PAMOJA NJIANI KWA MUNGU, HATUMWACHI MTU NJIANI

Tunaomba samahani kwa kutopakia maoni yenu mapema. Kwa kweli maoni mengine yalichelewa kutokana na kutokuwa na mawasiliano mazuri kati ya mhariri aliyeko Hispania na yule wa Tanzania. Sasa hivi kila kitu kipo katika hali nzuri. Mnaombwa kutoa maoni, kutuma picha za huko mliko ili sote tulioishi pamoja tujue tupo wapi. Anwani yetu ya barua-pepe ni ileile kama inavyoonekana hapo juu.

Asanteni.

Tupo pamoja njia kuelekea kwa Mungu.

Saturday, March 19, 2011

SALAMU KUTOKA KWA JOEL NZIKU

Kiujumla ninafuraha sana kwa kusikia kuawa tumeweza kufikia hatua hii ya kuwa pamoja tena kwa mala nyingine hasa tukikumbuka kuwa tumepita kule Mahanje eheheh! Ninashukuru sana kwa hatua hii na ninatamani sana kuwaona wote hata wengi nilisikia kwa majina sasa ninatumaiani nitawaona kwa uso hata kupitia katika mtandao huu na mara nyingine pale tutakapokutana asanteni sana.

Joel Nziku

Nimepita pale Mahanje mwaka 1997-1998 kama "Bungu".

No comments:

Post a Comment