Saturday, March 19, 2011
KADI YA MWALIKO WA USHEMASI WA FRT. EUSEBIUS MICHAEL
Ndugu Waagustino, popote tulipo tunaombwa kujikusanya na kuelekea Ufaransa kushuhudia kupata daraja la ushemasi kwa ndugu yetu Frt. Eusebius Michael tarehe 26 Machi 2011 kama inavyoonekana katika kadi ya mwaliko. Kadi ya mwaliko hiyo, ukipata ichape (print) kisha panda pipa kuelekea Ufaransa. Nawatakia nyote safari njema.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment