TUPO PAMOJA NJIANI KWA MUNGU, HATUMWACHI MTU NJIANI

Tunaomba samahani kwa kutopakia maoni yenu mapema. Kwa kweli maoni mengine yalichelewa kutokana na kutokuwa na mawasiliano mazuri kati ya mhariri aliyeko Hispania na yule wa Tanzania. Sasa hivi kila kitu kipo katika hali nzuri. Mnaombwa kutoa maoni, kutuma picha za huko mliko ili sote tulioishi pamoja tujue tupo wapi. Anwani yetu ya barua-pepe ni ileile kama inavyoonekana hapo juu.

Asanteni.

Tupo pamoja njia kuelekea kwa Mungu.

Friday, September 17, 2010

SHEREHE ZA DARAJA LA UPADRE KWA BR. NOLASCO PASKAL MSEMWA


Padre mpya akipongezwa na Padre Thobias Amuko


Baada ya Misa kulikuwa na Cherekochereko, nderemo na vifijo!


Kila mtu alionyesha jinsi alivyoshikwa na furaha siku hiyo


Rafiki na jamaa mbalimbali waliungana kutoa zawadi kwa Padre Mpya.


Padre mpya aliongoza Misa ya Shukrani tarehe 19 Agosti 2010 katika Kigango cha Makowo.

No comments:

Post a Comment