Friday, September 17, 2010
SHEREHE ZA DARAJA LA UPADRE KWA BR. NOLASCO PASKAL MSEMWA TAREHE 17 AGOSTI 2010
Shemasi Br. Msemwa akiongoza mapadre kuelekea kwenye maadhimisho ya Daraja la Upadre
Idadi kubwa ya mapadre waliohudhuria katika Misa hiyo, walimfuata nyuma.
Wazazi wa Shemasi mteule wakimsindikiza mwanao altareni ili akapewe Daraja la Upadre.
Baba Askofu Alfred Maluma aliyetoa Daraja hilo la Upadre akimuwekea mikono Shemasi Nolasco P. Msemwa kama alama kuu ya kutoa daraja hilo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment