TUPO PAMOJA NJIANI KWA MUNGU, HATUMWACHI MTU NJIANI

Tunaomba samahani kwa kutopakia maoni yenu mapema. Kwa kweli maoni mengine yalichelewa kutokana na kutokuwa na mawasiliano mazuri kati ya mhariri aliyeko Hispania na yule wa Tanzania. Sasa hivi kila kitu kipo katika hali nzuri. Mnaombwa kutoa maoni, kutuma picha za huko mliko ili sote tulioishi pamoja tujue tupo wapi. Anwani yetu ya barua-pepe ni ileile kama inavyoonekana hapo juu.

Asanteni.

Tupo pamoja njia kuelekea kwa Mungu.

Friday, September 10, 2010

Huyu ni shemasi mpya Br. Nolasco Msemwa mara baada ya kupata ushemasi Hispania.

3 comments:

  1. Hongera sana kwa kuchagua kumtumikia Mungu. Na Nakutakia kila la kheri.

    ReplyDelete
  2. Hongera sana kaka. Namfahamu baba huyu toka kule hanga.

    ReplyDelete
  3. Hongera sana Shemasi Msemwa. Nimefurahi sana kuona habari hii kwenye mtandao. Hongera sana na Waagustino wote. Wape hi wote wa huko Hispania. Nakukumbuka sana wakati ukiwa pale Salvatorian. Tumshukuru Mungu kwa kukufikisha pale ulipokuwa unatamani.
    Frt. Gosbert Rwezahura (Chicago- USA).

    ReplyDelete