TUPO PAMOJA NJIANI KWA MUNGU, HATUMWACHI MTU NJIANI

Tunaomba samahani kwa kutopakia maoni yenu mapema. Kwa kweli maoni mengine yalichelewa kutokana na kutokuwa na mawasiliano mazuri kati ya mhariri aliyeko Hispania na yule wa Tanzania. Sasa hivi kila kitu kipo katika hali nzuri. Mnaombwa kutoa maoni, kutuma picha za huko mliko ili sote tulioishi pamoja tujue tupo wapi. Anwani yetu ya barua-pepe ni ileile kama inavyoonekana hapo juu.

Asanteni.

Tupo pamoja njia kuelekea kwa Mungu.

Tuesday, May 10, 2011

HONGERA BABA SHEMAS: FILBERT MUHOWA osa


NI DARAJA YA UTUMISHI: NI WATUMISHI:
MASHEMAS WAPYA osa, AKIWEMO Br. Filbert Wolta Muhowa. Hispania 6/05/2011

No comments:

Post a Comment