TUPO PAMOJA NJIANI KWA MUNGU, HATUMWACHI MTU NJIANI

Tunaomba samahani kwa kutopakia maoni yenu mapema. Kwa kweli maoni mengine yalichelewa kutokana na kutokuwa na mawasiliano mazuri kati ya mhariri aliyeko Hispania na yule wa Tanzania. Sasa hivi kila kitu kipo katika hali nzuri. Mnaombwa kutoa maoni, kutuma picha za huko mliko ili sote tulioishi pamoja tujue tupo wapi. Anwani yetu ya barua-pepe ni ileile kama inavyoonekana hapo juu.

Asanteni.

Tupo pamoja njia kuelekea kwa Mungu.

Sunday, January 16, 2011

WAAGUSTINO NA SEHEMU ZAO ZA UTUME

















NYUMBA YA MALEZI: FALSAFA NA TEOLOJIA - MOROGORO


NI KAZI YA MIKONO YETU

UWANJA WA KABUMBU


P. FIDELIS TIGO

MTAALAM WA MAMBO YA
SAYANSI NA TEKINOLOJIA

AELEZEA UMUHIMU WA VYOMBO HIVI KATIKA UINJILISHAJI LEO

NI MUDA WA KUBADILISHANA MAWAZO PIA

HATUJA YA SAHAU MATEMBEZI YA KIAGUSTINO

HAYA NI MATUNDA YA NDUGU WAKIKAA PAMOJA KWA UPENDO

ASTERY ZE 2nd na PADRE ALOIS WAKIBADILISHANA MAWAZO KWENYE KORIDO ZA MORO

TUTAUENZI UMOJA HUU KWA NGUVU, AKILI, NA UWEZEO WETU WOTE.. ni lulu
Bw Philo, Pd. Fide, Pd. Msemwa na Bw. Astery


MOLOJI MOLOJI MOLOJI

NENO LA MUNGU NDIO NGUZO YA UMOJA NA UZIMA WETU.

Frowin MGANI AKISOMA NENO LA MUNGU KANISANI

NIKUSHUKURUJE BWANA KWA MEMA YOTE ULIYO NITENDEA ?

NITAJITOLEA KWA MOYO WANGU WOTE KUDUMISHA ROHO YA KIAGUSTINO,
"MOYO MMOJA NA ROHO MOJA KAMA NDUGU, KWA UPENDO

TWENDE PAMOJA KWA UMOJA - TUTAFIKA. TENA KWA FURAHA

UMEONA HIYO INAVYO PENDEZA KUKUMBUSHIA ENZI!!

AISEEEEE! WAGUSTINO NA KARISM YATU

PROMISING FUTURE


TUTAZAME TULIKO TOKA



SASA TUFANYEJE?









1 comment:

  1. Nimefurahi sana kuona picha za Mahanje, nilikuwa muaspiranti mwaka 1986, mlezi wetu alikuwa Fr Michael, (yupo wapi siku hizi?) na Prior alikuwa Baba Agustino. Nawashauri mtengeneze tovuti kwani ni rahisi zaidi kwa sisi kuitembelea kuliko blog.

    Mbarikiwe sana.

    ReplyDelete