TUPO PAMOJA NJIANI KWA MUNGU, HATUMWACHI MTU NJIANI

Tunaomba samahani kwa kutopakia maoni yenu mapema. Kwa kweli maoni mengine yalichelewa kutokana na kutokuwa na mawasiliano mazuri kati ya mhariri aliyeko Hispania na yule wa Tanzania. Sasa hivi kila kitu kipo katika hali nzuri. Mnaombwa kutoa maoni, kutuma picha za huko mliko ili sote tulioishi pamoja tujue tupo wapi. Anwani yetu ya barua-pepe ni ileile kama inavyoonekana hapo juu.

Asanteni.

Tupo pamoja njia kuelekea kwa Mungu.

Tuesday, September 21, 2010

KONGAMANO LA WANAKWAYA WA PAROKIA MAHANJE: UINJILISHAJI KWA NJIA YA KUIMBA

HAYA, ASANTE HADI MARA NYINGINE TENA..



WATOTO NAO WALIKUWEPO TANGU MWANZO HADI MWISHO WA KONGAMANO
wakicheza "seketu seketu"

TUMEWEZAAAA EHEEEEE ... WANAKONGAMANO WAKIAGANA KWA MBWEMBWE NA SHAMRA SHAMRA KALI



ANACLET HAKUKOSEKANA KUNDINI




KONGAMANO MAHANJEEEE... MWANZO MPYAAAAA!!!

" ANAYE IMBA ANASALI MARA MBILI!...(Mt.Agustino). Je, anayeimba na kucheza anasali mara ngapi?.... Mt. Agustino tunaomba jibu



SI, KUIMBA TU, HATA KUIGIZA PIA TUMO.....

TAZAMA INAVYOPENDEZA NDUGU WAKIKAA PAMOJA KWA UPENDO




WATOTO NAO WALIJUMUIKA KWENYE "MESA GRANDE


WANAKWAYA BAADA YA MISA WALIKUWA NA "AGAPE"











KAGUNGA "BORN TO SING"










WANAKWAYA YA MT. AGUSTINO MADABA







WANAKWAYA WA KIFAGURO



WANAKWAYA KIGANGO CHA MKONGOTEMA


WANAKWAYA KIGANGO CHA RUTUKILA


WANAKWAYA KIGANGO CHA NDELENYUMA

BAADHI YA WANAKWAYA MAHANJE

KWAYA YA MADABA





WANAKONGAMANO KWENYE PICHA YA PAMOJA


MARA BAADA YA ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU MAPADRE, SHEMAS NA WATUMISHI WAKIWA KTK PICHA YA PAMOJA




P. EXAVERY KASASE ( PAROKO) AKITOA NASAHA ZAKE KWA WANAKONGAMANO







P. FIDELIS AKITOA MAFUNDISHO SIKU YA KONGAMANO



WANAKWAYA ZA VIGANGO VYOTE VYA PAROKIA- MAHANJE WAKATI WA IBADA YA MISA TAKATIFU SIKU YA KONGAMANO HUKO MAHANJE JULAI 2010

3 comments:

  1. Hongereni sana wanaparokia ya Mahanje kwa kuwa na kongamano hilo la kihistoria. Tunawapongezeni sana kwa umoja wenu, kwa utume wenu na sadaka yunu. Hakika mmedhihirisha bayana moyo na Roho ya Kiagustino. MOYO MMOJA NA ROHO MOJA KUELEKEA KWA MUNGU... KONGAMANO MAHANJEEEE MWANZO MPYAAAA!!!
    MWENYEZI MUNGU AZIBARIKI JUHUDI ZENU.

    ReplyDelete
  2. hongereni waagustini kuitangaza mahanje,mungu awabariki

    ReplyDelete