TUPO PAMOJA NJIANI KWA MUNGU, HATUMWACHI MTU NJIANI

Tunaomba samahani kwa kutopakia maoni yenu mapema. Kwa kweli maoni mengine yalichelewa kutokana na kutokuwa na mawasiliano mazuri kati ya mhariri aliyeko Hispania na yule wa Tanzania. Sasa hivi kila kitu kipo katika hali nzuri. Mnaombwa kutoa maoni, kutuma picha za huko mliko ili sote tulioishi pamoja tujue tupo wapi. Anwani yetu ya barua-pepe ni ileile kama inavyoonekana hapo juu.

Asanteni.

Tupo pamoja njia kuelekea kwa Mungu.

Saturday, November 4, 2017

SHIRIKA LA MT. AGUSTINO LA PATA MASHEMASI WAPYA 4 TANZANIA


SHIRIKA LA MT. AGUSTINO TANZANIA LIMEENDELEA KUNEEMEKA KWA KUPATA MASHEMASI WAPYA WA NNE. TUKIO HILO LA KIHISTORIA LIFANYIKA HAPO TAR. 28/10/2017. AMBAPO MH. ASKOFU TELESPHORY MKUDE WA JIMBO KATORIKI LA MOROGORO ALIWEZA TOA DARAJA LA USHEMASI KWA VIJANA WA MASHIRIKA MBALIMBALI YA KITAWA KATIKA KANISA LA CHUO KIKUKUU CHA MT. JORDAN MOROGORO. MIONGONI MWA WATEULE HAO, WANNE NI VIJANA WASHIRIKA LA MT. AGUSTINO TANZANIA.




MAMBO YALIKUWA HIVI






 




HONGERENI SANA MASHEMASI WETU WAPYA:

(Jerasco, John, Geofrey na Richard )

TUMIKIENI KWA UPENDO DAIMA MKIIGA MFANO WA KRISTO MWENYEWE "ALIYEKUJA KUTUMIKIA NA SI KUTUMIKIWA" 

No comments:

Post a Comment