TUPO PAMOJA NJIANI KWA MUNGU, HATUMWACHI MTU NJIANI

Tunaomba samahani kwa kutopakia maoni yenu mapema. Kwa kweli maoni mengine yalichelewa kutokana na kutokuwa na mawasiliano mazuri kati ya mhariri aliyeko Hispania na yule wa Tanzania. Sasa hivi kila kitu kipo katika hali nzuri. Mnaombwa kutoa maoni, kutuma picha za huko mliko ili sote tulioishi pamoja tujue tupo wapi. Anwani yetu ya barua-pepe ni ileile kama inavyoonekana hapo juu.

Asanteni.

Tupo pamoja njia kuelekea kwa Mungu.

Tuesday, October 24, 2017

WAAGUSTINO NA PARROKIA MPYA MADABA SONGEA TANZANIA


HATIMAYE PAROKIA MPYA YAFUNGULIWA MADABA  NA KUKABIDHIWA KWA SHIRIKA LA MTAKATIFU AGUSTINO TANZANIA 



 KANISA JIPYA MADABA 











































ENENDENI ULIMWENGUNI KOTE......




No comments:

Post a Comment