Tuesday, May 29, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Familia ya Waagustino nchini Tanzania ni mkusanyiko wa watu wote popote walipo waliopitia katika Shirika la Mtakatifu Augustino ambao hivi sasa ni mapadre, mabradha, na walei. Familia hii inalenga kuwaleta pamoja na kuhuisha umoja wa familia ili wale wafahamiane. Tufahamishane kuhusu taarifa za Mahanje, Morogoro, Dar es Salaam na Mwanza na mahali pengine ambapo Waagustino wapo. Tuma taarifa kwa waagustinotz@gmail.com.
Tunaomba samahani kwa kutopakia maoni yenu mapema. Kwa kweli maoni mengine yalichelewa kutokana na kutokuwa na mawasiliano mazuri kati ya mhariri aliyeko Hispania na yule wa Tanzania. Sasa hivi kila kitu kipo katika hali nzuri. Mnaombwa kutoa maoni, kutuma picha za huko mliko ili sote tulioishi pamoja tujue tupo wapi. Anwani yetu ya barua-pepe ni ileile kama inavyoonekana hapo juu.
Asanteni.
Tupo pamoja njia kuelekea kwa Mungu.
Hongereni sana Ndugu waagustino katika juhudi zenu za kuboresha maisha ya mwanadamu kwa njia ya Elimu.Mungu mwenyewe ayafikishe kwenye ukamilifu hayo mema yote. Tunawatakia utume mwema.
ReplyDeleteHello everyone, it's my first pay a quick visit at this site, and article is in fact fruitful in support of me, keep up posting such articles.
ReplyDeleteMy page how to get lot of followers on instagram
My web site: how to get lot of followers on instagram
Awesome things here. I'm very satisfied to peer your article. Thank you so much and I'm looking ahead to contact you.
ReplyDeleteWill you kindly drop me a mail?
Also visit my homepage - waist hip ratio calculator
This site was... how do I say it? Relevant!
ReplyDelete! Finally I have found something which helped me. Kudos!
Feel free to visit my page :: Bmi chart