TUPO PAMOJA NJIANI KWA MUNGU, HATUMWACHI MTU NJIANI

Tunaomba samahani kwa kutopakia maoni yenu mapema. Kwa kweli maoni mengine yalichelewa kutokana na kutokuwa na mawasiliano mazuri kati ya mhariri aliyeko Hispania na yule wa Tanzania. Sasa hivi kila kitu kipo katika hali nzuri. Mnaombwa kutoa maoni, kutuma picha za huko mliko ili sote tulioishi pamoja tujue tupo wapi. Anwani yetu ya barua-pepe ni ileile kama inavyoonekana hapo juu.

Asanteni.

Tupo pamoja njia kuelekea kwa Mungu.

Wednesday, October 5, 2011

WAAGUSTINO TANZANIA NA HARAKATI ZA UJENZI WA SHULE DSM

Upeo: yatupasa kuwa na upeo wa kuona mbali
STEP BY STEP, HATUA KWA HATUA: GOOD FOUNDATION
MOYO MMOJA NA ROHO MOJA KWA FAIDA YA WOTE
NA JUU YA MWAMBA HUU, ....

OUR HEARTS ARE RESTLES TILL THEY FIND REST IN YOU
BWANA, ONGOZA NIA NA MIPANGO YETU....







EDUCATION IS THE ONLY WAY TOWARDS A HUMAN DIGNIFIED LIFE

2 comments:

  1. Hoengereni sana ndugu Waagustino kwa hatua hiyo katika utumishi wenu. Natumaini utakuwa msaada mkubwa kwa Taifa la Mungu. Mungu abariki kazi yenu.

    ReplyDelete
  2. Mwenyezi Mungu atawasaidia na shule itainuka na watu watapata elimu. Nawatakieni kila la kheri.

    ReplyDelete