TUPO PAMOJA NJIANI KWA MUNGU, HATUMWACHI MTU NJIANI

Tunaomba samahani kwa kutopakia maoni yenu mapema. Kwa kweli maoni mengine yalichelewa kutokana na kutokuwa na mawasiliano mazuri kati ya mhariri aliyeko Hispania na yule wa Tanzania. Sasa hivi kila kitu kipo katika hali nzuri. Mnaombwa kutoa maoni, kutuma picha za huko mliko ili sote tulioishi pamoja tujue tupo wapi. Anwani yetu ya barua-pepe ni ileile kama inavyoonekana hapo juu.

Asanteni.

Tupo pamoja njia kuelekea kwa Mungu.

Saturday, April 17, 2010

Makanisa ya Vigango vya Parokia ya Mahanje

Hili ni kanisa la kigango cha pachani

Hili ni kanisa la kigango cha Rutukila

Hili ni kanisa la kigango cha Madaba


Hili ni kanisa la kigango cha Mkongotema

Hili ni kanisa la kigango cha Mahanje

2 comments:

  1. Ahsante sana kwa kunikumbusha sehemu hizi ! Ubarikiwe

    ReplyDelete
  2. Haya, picha nzuri sana... lakini kwa nini hakuna post mpya???? http://changanyikeni.blogspot.com

    ReplyDelete